
Vitu za kitambo tulidharau lakini zilikuwa lifesavers! Unakumbuka zile simu zilikuwa na torch na battery ya wiki mzima? 😂Time kahizi unapopata blackout mara nyingi, unakumbuka zile zamani ambapo simu ilikuwa inaeka Moto na bado inaserve multi-purpose 🤦🏽♀️

0
0
0