
Waaa hi increase in fuel price imeniaffect sana so far Mimi huuza mboga pale soko na hizi vitu n lazima tuu uziendee so fare imeincrease vibaya sana then prices ya vitu kama nyanya imeshut kitunguu ndo iyo imeshut hii imeniaffect sana koz nadhindwa ata nitauza aje ndo at least nmake profit government we are on ahigh risk
0
0
0