
Waaaaahh π±π± hopefully wasee wote mko poa π€π€ #shukran sana kwa Meshers wote walikam through hadi #mtaa yangu kucheck up on me πͺπͺ salute π«‘
pia wale mlireach out via #calls na texts π―π― appreciated,, actually Githurai tuko fine so far hakuna noma tena after ile incident π₯΄,,,
Welcome once again to Brian's Health Corner ππ₯¦π«ππ as promised nimekuwa kwa grao kuchapiana na wasee wa #biz ya #fruits though most zimekuwa affected by #demos but we're trying to fix things,,kwa field nilikuwa nachambua fruit moja noma sana inaitwa #Nanasi ama Pineapple ππ so hii stuff ni fruit na pia inatengeza juice na throughout research yangu nilikam kujua pia ngozi yake ni dawaπ±π±π± #Dawaaaaββββ Yes dawa,,unachop into small pieces then mix it with #ginger then boil the mixture properly,,ikishachemka sieve the residue off then mix the solution with either #sugar or #honey,,,ukikunywa hio ukiwa na #homa utakuwa sawa within no time ππna pia ni medicine fty sana kwa wasee wale wako na shida za #kifua kufunganaπ See you again in our next session,,, keep it Brian's Health Corner ππππ₯ tuchanuane π―π―
