
#waaaah 2024😞😞Wacha iishe tu,,
hii ndio mwaka nimejipata kwa ngori mob sana both kwa biz na personal life,kwanza around April to August kukawa na #Floods🤥msee stall yangu ikang'olewa na maji, products zikaharibika zote🙂↔️. Nikabomoa account yangu ya savings nikaamsha biz tena😊 hata three months haikuisha #Gen z wakaingia streets,,wahuni wakapata advantage wakaiba bidhaa zangu za kazi kama,,juicer machine, blenders na ka-mini fridge 😪 But nikabakia na #lesson moja💪💪 #Usikuwe na limited savings,,kuwa na multiple 💯
0
0
0