
Waaasee🎷🎷🎷ni Wednesday 🎉🎉🎉 and like tuliagree last week,,,,leo tunachapiana kiasi kuhusu benefits za cabbages,,,hii ni #mboga flani wasee wanadharau but it's very nutritious and that's why ukienda #hosy na ulazwe everyday utakuwa unapatana nayo kwa diet yako daily 💯💯
Welcome to Brian's Health corner 🍓🍉🥑🍓🍉🍊 1.Cabbages ziko very rich in both vitamin C and K,, making your body strong and resistant 2.Cabbages reduces the risks of high blood pressure kwa Wasee wengi wenye wako na blood issues 3.Ukikula Cabo often utakuwa at a higher chance ya kupunguza cholesterol kwa body 4.Pia husaidia kwa digestion ya msee,,, haitakuwa difficult kwa msee msick kudigest food coz it's simple 5.Cabbage pia ni beshte ya Moyo sana,,,for a healthy heart and heartbeat kula Cabo kwa wingi 💪💪
#thanks for the patience from last week hadi leo,, 🙏🙏,, let's keep it Brian's Health corner 🍓🍒 every Wednesday 🎉 tuchanuane as usual #form ni kujengana 💯
