
Wadau. Amesema niwaonyeshe samples ya kazi nimefanya. Hii no moja nimefanya suburb fulani uku kanairo
Hii mayo tulikua tunafix lila kitu.
From painting to plumbing. We also had to redo the floor and tiling. Landscaping too
Niambieni kama ni kazi safi. Na ikiweza. Tuitieni kazi.




0
0
0