Wadau Biashara imekuwa mbaya hii mwezi stock nilichukuwa ya bizna imenichoma mbaya cioni profit ikikam through itabidi ni tafute alternative nilikuwa nauza kitu in wholesale lkn c kuzuri