
Wadau, how often do you fumigate your homes(especially Kwa kitchen) and biz Kwa wale wako kwa hii sector ya hospitality! We all agree usafi ni kitu muhimu sana ikiwa uko kwa hii field but sometimes controlling pests inaweza kuwa tricky!
I was conversing with a fellow mom akinishow vile Mende wanamsumbua anahitaji permanent solution.Upon giving her this idea ya fumigation she was like "Wacha ikae"ππ Bora nikienda kulala ndio wanajitokezanga ku-party. This one got meπ€£.
Hebu tuchapiane kwa comment section. π
0
0
0