
Wadau, kuna dame amefutwa job due to the hard economic times company yao inacut down employees. Haiishi far sana na job alikua, but rent yake ni 25k. She had just bought a car and has a monthly car loan repayment of about 15k monthly. Ako na katoi kamoja ka two years and she lives with the house help pia who she pays 7k kila mwezi. Ako na savings za 100k in her emergency fund.
What would you advice her as the next steps given vile kupata job Kenya ni ngori?
0
0
0