
Wadau najua nimepotea sana but leo something that I learned here has finally helped me... Leo nimekuwa njaro zangu Eldoret town. From nowhere a certain thought came into my mind. Several days ago I had asked something about savings and it's discipline wasee wakanishow nijaribu something on mobile banking. So today nimestep pale KCB nimeuliza kama naweza open account and wakakubali. Nimefunga a goals savings account thanks to you guys to bring me into the light bana. Si mbarikiwe sana hadi mshangae✊💪💯
0
0
0