
Wadau... Naomba job .... provided ni legit na pay Iko poa.
Sikuget Chance ya kuenda College. Niko na an Online Learning Cert in Business Entrepreneurship na Cert ya IT (Computer repair and Maintenance -artisan course), Pia Niko na Several Certs from Coursera: Advanced In Excel, Project management.
Nataka job ndio at least niget chance ya kuboost my biz . Ukiwa na chance kindly.
0
0
0