Wadau Niko na hii kitu ya start business za jerseys za ball but place nitaziget inakuwa Noma Need someone anaweza ni educate how that biz iko challenge what to expect all those staff