
“Wadau, tunatafuta wasanii!"
Umekuwa ukisoma Shujaaz comics all this time, na sasa tunataka utusaidie kuzichora na kuzi-bring to life. Shujaaz inatafuta ma-artist tofauti wa ku-illustrate webcomics zetu penye kuna characters wanoma na stories kali zina-come up!
Kama uko na illustration skills ajab na uko interested ku-work na sisi, cheza kama wewe. Tengeneza poster ya DJ B akiwa ndani ya shop yake mpya. Tutumie poster yako kupitia DMs za Facebook na Instagram @ShujaazKe, before 26th August, na unaweza win zawadi noma kadhaa plus uta-stand a chance ya kuwa artist wa Shujaaz!

0
0
0