
Wadaus mko aje? Where do you save your money as offlate av been saving in a certain sacco but jana nikasema niende nichukue statement yangu ya savings lakini story nilipewa sikufurahia as i was told pesa zangu zimekatwa kwa reasons i was not told nikiingia kwa hiyo sacco.Or still i failed kutosoma T&Cs Nichanueni Meshers

0
0
0