
Wageni MESH nadai niwapeleke na mtaratara. After some weeks nmeona niunde series on the topic "Why MESH" tusaidiane kuelewa why this App exists and its relevance kwa kwa Kenyan Business Society.
WHY MESH
A. Hustle Hadi Success: MESH sio platform ya kawaida. It’s where washikaji like you share real tips—how much unaweka to start a biz, wapi unapata suppliers, ama how to dodge bad biz deals.
B. Connect na Wasee Wako: Unataka mentorship? Collabo? Customers? MESH ni your squad. Hook up na hustlers wengine, mentors, or even brands kama Unilever for gigs. Pamoja tuko strong!
C. Pesa na Opportunities: From free ads to soft loans na biz training, MESH inakusaidia kuchanuka. Plus, unaeza-bag doh from gigs which unaeza score straight from the app. Si unajua, time ni pesa!
D. Vibe Yetu Ni Yetu: MESH ni home for washikaji wa Kenya. Hakuna kujifanya—we keep it mashinani, fun, na real. Download app ama join kwa web, it’s free kabisa!
So, unangoja nini? Join MESH, tujenge hustle together, na tufike next level. Drop a comment and tell us about your hustle story—tunaskiza!
