Wagwan Mesh!!!! Naitwa Mumbi na naishi Kiserian!!!Ndio namalizia law school lakini meanwhile kuna biz zinarun.Napenda kufanya biz ju naamini kuna opportunities infinite za ma youth kupata doh.Na Biz haina aibu.Mboka ni mboka.Me nimeuza nguo, T-shirts, hoodie, nimefanya kwa shop ya mathe kiasi na nimeuza nyumba pia. Napenda food sana manzee pia pale jikoni silalishi.Nashona all sorts of things from beanies to tops za madem adi masweater na wall hangings pia.Passion yangu hukua kumake doh ju whether we like it or not ndio msee ajijenge fiti doh most lazima zikue kwa hesabu.Pia kuona mayouth wakicome together for the greater good ni so encouraging ju si ndio tutafix our country.Plus hio ku interact na wasee different inafanya tu unakua na a different perspective on things ju there's always something to learn from someone. Tukumbuke.Knowledge is potential power.The real power is in the daily execution of the knowledge. I'm proud to be a part of #MESH Kunipata mtanipata kwa 0768487797
