
🌱🌽Wakulima, tafuta market kwanza, ndio upande.🌱🌾.
Hata ukiwa producer au manufacturer, jiulize nini iko na demand sana saa hii? Au hizi products nataka kutengeneza nani atanunua? Market most iko pande gani? Au ni need gani nina-solve na hii product?
Do this before production. Start with these questions in mind, or else kitakuramba😆 you will be left with dead stock yenye haisongi!

0
0
0