Wakulima,
Ni nini hufanya hizi tomatoes ndogo kuwa expensive hivyo? 250g za hizi cherry tomatoes kwa supermarket, inacost 265 kes.
Yet zinamea nyingi kwa kitchen garden yetu 🤔.
Hii type ya tomato 🍅 ina qualities gani inayofanya iwe special?
0