
Wakuu, confession time... Have you ever oversold mpaka sasa hakuna stock, then unaskia uchungu ya roho ukiona customer akiingia shop/hotel ya jirani?
And the worst part? 👉 For shops: delivery guy alichelewa na stock 👉 For hotels: mpishi ameamua kulala kwa jiko
Customer anaangalia tu menu, anatoka polepole kama ameenda kwa choo... next thing unamwona kwa neighbour's joint anakula chips na smile. 😭😭
How do you guys deal with such heartbreaks? Ama ni mimi tu niko na “business trust issues”? Let’s share – maybe tutaandika handbook ya "How to Avoid Business Heartbreaks 101” 😂📉
#HustleChronicles #BusinessLifeKE
0
0
0