Wakuu mimi ni urban planner and designer. Nashughulika na mapping 3D visualisation, Data analysis architectural drawings na story mob tu za design na planning. Hope nitawai connection hapa