Wakuu mlisema hii biz ya pool table huwa legal ama ni illegal coz kuna baze nimefugua na polisi wamenipeka mbio. Kumbuka I have all legal papers mpka za betting and licensing board. Saa tano ikifika washout customers kila mtu kwao 🙆♂️🤷😢
0