Wakuu... niko na Fridge nakinda 2nd Hand...bado iko mbichi kiasi na 4 months. Nani anajua base fiti naweza iuza ama kuna mtu anaweza kua interested?
Ni 190 ltrs ya Bruhm.
Niko within Kanairo.