Wakuu Niko na nguruwe hapa around 25- 35kgs each ,alafu ni wengi, kidogo nimekosa market anyone anaweza nilink na a legit buyer.