Wakuu, tumeingia wiki ya Easter na holidays ziko hapa tena 🙌🏽🔥 Being a youth in biz, hii ndio kipindi ya kuamka kidogo na kufocus. Hii si time ya kulala ama kungoja miracles — ni time ya kuangalia opportunities ziko ground. Ebu tuchanuane hapa… ni biz gani unaona inaweza move hizi few coming days? Ile kitu mtu anaweza ingia nayo saa hii, apour capital kidogo na at least apate return before holidays ziishe? Ju ukweli ni, watu wanaspent sana kipindi kama hii — travel, food, outings, shopping… pesa iko nje, ni sisi tu tuji-position vizuri 💯 Drop ideas zenu, tusaidiane kama kawaida. One idea inaweza change mtu huku 👇🏽
0
0
0