
Walai kukua Mc ama hypeman ni talent ingine imekanyagiwa sana. Huko mtaa Kibwezi hii kazi imeachiwa the same person over and over the years. Mr. Kitili anaingia 75 years buana na yeye ndio anapreside over all ceremonies. I think its high time youths tuanze hii kazi. Nlipiga research nikaona hii inataka ukue na qualities kama: 🎤Ukue msee anajua kusocialize na wasee. 🎤Keep your energy high. 🎤Be able to improvise. 🎤Be eloquent. 🎤Work under Pressure . 🎤Be a quick learner.

0
0
0