
Walai mi husema kaa unaelewa angles, unaeza tell story tofauti kwa kila shot as a photographer ama videographer. Sijui kaa mnaelewa hizi angles lemme breakdown.
-
Bird’s Eye View🦅📸: Camera iko juu, unashoot chini direct. Perfect kwa vitu kama flat lays, layouts za room, au kuonyesha scene nzima.
-
Worm’s Eye View🐛👀: Hii ni reverse ya Bird’s Eye. camera iko chini, unashoot juu. Unafanya subject ionekane huge—buildings, trees, au mtu akiwa na dominance.
-
Close-up🔍😎: Frame tight kwa subject. Hii ni ya kucapture details ndogo: emotions za face, textures, au vitu ndogo kama jewelry.
4.Dutch Tilt🎥🤯: Camera inaangalia kwa angle. Unaongeza motion na tension kwa picha Sanasana kwa action shots au suspense moments.
5.Rule of Thirds Focus 🎯📐 Weka subject off-center. Eyes za watu zinascan hapo haraka. Hii technique ni mostly hukua ya kufanya picha ziwe balanced.
- Wide Angle🌄📷 Camera inashoot field kubwa—background yote na subject ndani. Hii tumia kwa landscapes, group photos, na buildings

