
Walai sisi low income creatives naona we miss alot, Had a hands on experience on iPad Pro 2023 nikaona its like a gold mine. Inacome na M2 chip yenye iko crazy fast, meaning unaeza fanya 3D modeling, video editing, na digital illustration bila hiccups. Plus iko Liquid Retina XDR display buana Colors zinakam bright na details ziko sharp hadi unajifeel umeingia in your creative world. Shida ni hapo kwa mfuko buana, mi nangojea nishinde jackpot tu

0
0
0