
Wale wanapenda music system ya gari kwa nyumba here is the set up unahitaji power supply to change DC to AC the price ranges between 3k to 6k depending na Amperes unataka the Kuna equalizer 3500 which controls sauti ya speakers na base speaker the we have amplifier 10k which boost bot speakers ya base na midrange then unaeza tumia tv instead ya radio alafu tuko na base speaker 10k Ile uzito ya base Iko hapa now you can enjoy the music bila stress sisi tunakuuzia and we install for you location tuko kasarani mwiki road opposite powerstar supermarket number you can call 0745492885

0
0
0