Wale wasee hu-drill wells watakuambia. For every 4 wells wanadrill, watapata oil kwa moja pekee yake.
Same na watu wa Sales. For every 10 potential customers utawa-approach, mmoja tu au wawili ndio watanunua. So kwa biz, patience na consistency ndio muhimu. Usikufe moyo.
0
0
0