Wale wasee huwa wanajenga websites kwa wasee, ukipata client na tayari umeshamaliza site huwa unawaitisha doo uweke hosting kwanza ama? Je unajua unaweza kuwa na website yako and host it for free then ukijengea msee system unajenga tu subdomain kwa hiyo yako, share with them link wakiwa satisfied then you talk biz? Tumia freehostia dot com. For more info reach out.
0
0
0