Wananchi haloo..anyone in the phone repair business naeza taka kujengwa advice on starting up ni tools gani essential za kuanza nayo knowledge niko nayo na naendelea kulearn from YouTube na social media pia. #JengwanaAdvice
0