Wanasemanga money is root of all evil, wengine wanagwaya kutaja hii jina 'mkwanja' kwa wengine hii ni taboo manze, me hii dooh ni kila kitu siezi do without. Wewe wasemaje?