Wangwana wa mines mambo vipi.. Sasa Leo ebu tuchapiane kuhusu mambo ya cereals Wakulima walishavuna na wakona stock kwa wingi
Ni cereal gani inakuwanga na demand area yako yenye suppliers ustock kwa wingi for future business?

0