Wangwana wenzangu mambo vipi...
So far so good kwa wenye walichukua loan ya jiinue repayment inawapeleka aje?
A) unafanya repayment with ease
B)unastruggle kufanya repayment
C) umelemewa kufanya repayment
0