Wangwanaaa,,,hii ni moja safi tena๐ช๐พ๐ช๐พwaswahili husema "baada ya kilio ni kicheko" hii itakuwa moja safi ya kuchapiana vile wewe hudeal na uncertainties zikitokea pale kwa biz yako ๐ค๐ค๐ค for instance wale wasee wengi biz zao ziliharibika pale Githurai 45 ๐๐
utafanya nini to stay sane in biz even after this๐๐พ๐๐พ tuchapiane, tuchanuane then tujengane ๐ฏ๐ฏ itakuwa a live WhatsApp call ya 45min
0
0
0