
Wapishi in the building mambo vipi.. Swali yangu ni , , if you were the one to prepare this meal๐๐
Recipe yako ingekuwa namna gani?
From my side 1.kitungu 2.nyanya 3.salt 4.salad 5.water 6.redpapper 7.dania 8.ginger 9.curry powder ya royco

0
0
0