Wasanii kuna hii Unpopular opinion na huwa ina affect mental health ya Artists sana,,Do you agree with this statement ama unadisagree??tupelekane na rada hapo kwa comment section ☺️🤔🤔