
Wase mmecheki hizi story za building kucollapse baze kibao na inaend up kucause damage kibao sana.vitu unenda vibaya kwa ground coz hapo ndio mjengo infanyika . So how do me reduce this problem to the minimum ! 1.kutumia material ya maana inaplay a huge role 2. Kuhire mse ajajua kitu anadoo si msee anabaatisha 3.NCA pia inasaidia by kueka regulations 4.ethics na transparency pia inacheza a huge role Anyways sisi kama watu wa mjengo tunafaa kujituma na kufanya kazi safi.Ama mnaona aje guys ? Anyone akitaka more info anaeza kacheza na hii link . https://kippra.or.ke/tackli...

0
0
0