Wase mmenotice shop kadhaa na places za biz wasee wametoa lipa na mpesa stickers but ukiwaambia wanakupea paybill ama lipa na mpesa !? Rada ni gani ama ni area yenye niko ndio kuna story ka hio ?