
Wasee, biashara inahitaji kujifunza kila siku... What resources do you find most helpful? A. Online courses - kujua vitu online ๐ค B. Mentorship - kupata guidance kutoka kwa wakubwa ๐๐พ C. Business books/podcasts - kujifunza on the go ๐ถ๐พโโ๏ธ๐ D. Networking events - kumeet watu wapya na kupata connections๐ค.
0
0
0