
Wasee hapa kuna #form. Manze Covid-19🦠🦠 imetu-affect sana but lazima tu keep pushing. Lazima tukue realistic wadau. Tuchanuane, ni #Biz gani unaeza anzisha ka 1K? Biz kama:
- Kuuza #mtush👖👕🧦👚
- Mobile hairdresser💇♀️
- ku-make woven baskets🧺, Maasai artifacts, and simple paintings.
Ni hustle gani pia msee anaeza anza na 1k ..tuchapie hapo chini kwa comment section
0
0
0