Wasee hapa mnaona aje ? Kuna wanabiashara wamestock hii aluminium cups coz of #Ishowspeed . It's new goldmine kwa market saa hizi 😂. Naskia Luhya huwa wanaita Rishuvira 😂😂