Wasee hizi blackouts ziko kila mahali au aje? Imekuwa mtindo, kila siku blackout. Area gani iko na stima?