
Wasee hudharau biz ya kibanda though hapo ndio kuna ready market na pia natural health 💯💯💯 Ukiwa na around 10-15k uko fty kuset up kibandasky yako na kulisha community na fresh fruits and veggies plus natural juice 🥤🥤🧃,, #usidharau mwanzo mdogo💪💪

0
0
0