Wasee jana nilianza hustle ya kuuza popcorn na sina machine, leteni connections kama naweza pata hata ya kukodisha.