
Wasee, kama unataka kubamba kwa YouTube Shorts, lazima ucheze hii game smart, Hizi ndio points za kukusaidia kufanya poa:
⏯️Piga Content Fupi na Kali - Weka video short and sweet, watu hawataki msee anachew story mob.
⏯️Cheza na MaVisuals - Weka visuals zako ziwe lit, kitu ya kunasa macho haraka.
⏯️Shikilia Attention - Hapo kwa first 3 seconds lazima uchape kitu kali, mtu asiskip.
⏯️Fuata Trends - Angalia kenye kina-trend, alafu unalete flavor yako kwa hiyo.
⏯️Consistency ni Key: Piga Shorts mara mob, watu wasikuget tu one-off, lazima uwashtue daily.
Cheza na hizi tips, na utaona mafans wako wakiongezeka mbaya sana

0
0
0