Wasee korona ni real tuendelee kuwafundisha mayuths kujikinga kwa kuvaa mask kunawa mikono kila wakati na kumantain social distance.