
Wasee kuna biz idea fiti sana ya dust coats but anafa determination. If you want to be different form other venders itabidi umepelekea watu kwa site unaeza uzia hata mtu mmoja as long as kuna profits compared to a stationary point. The good thing ni ati it's not limited to only construction aka jua kali but almost kila mahali dust coats zinahitaki ni colour( colour ni mingi sana )na pricing depending on different instructions. Ukienda hosi hua za white pia shule pia butchery.Blue hutumika kama baze za manufacturing companies kama cement etc depending on the organization. You can get then at a wholesale price for like 600 in bulk alafu your starting price from 800 plus. Solid plan what do you think guys?


0
0
0