
Wasee kuna tool s zenye tunapuuzia pana but ni important sana the reflective jacket. Wengine wenyu imekua luku ya kumalizia luku if you know you know . But anyways this reflective jackets are really important in construction juu inakupea visibility mbaya sana ikue in the dark ama during the day also. It also improves general safty attitude wakati wa kujenga imefika .. As you know guys it is not only used in costruction but pia area mingi penye safty inahitakija ... Pia mmeona the police force wanazitumia vizuri sana . If you are costruction worker jihami na hii .. #safty #costruction For more important unaeza kasoma kwa link below . https://www.linkedin.com/pu...

0
0
0