
Wasee, maze ebu tuchanuke kidogo…hii story ya mresh Sylvia wa Multimedia ni right ? Ama ni sisi tumezoea heartbreaks hadi hatuoni red flags?
Aki wasee, venye life inaenda sai, mental health si ya kupuuzwa. Tuliskia vile Sylvia aliuliwa na ex wake, na bado ni first year…alikuwa na ndoto, alikua msee wa watu. Sasa question ni: tuko na spaces safe kwa ma-campus zetu? Ama tunanyamaza hadi tragedy ikitokea ndio watu waamke?
Tupige sherehe hapa kwa comments:
-
Je, umewahi kuwa kwa toxic relationship lakini ukanyamaza juu ya fear au embarrassment?
-
Unadhani ungebonga na nani kama ungekuwa kwa situation kama ya Sylvia? (Roomie, lecturer, peer counselor?)
-
What do you think schools (na sisi pia) tunafaa kufanya kusaidia victims ama wale wako at risk?
Let’s vibe—hakuna judgement. Ni real talk juu tunataka kukaa safe na kushow up for each other.